Katiba ndio waraka wa juu kabisa wa kisheria wa nchi na muongozo wa utungaji sheria nyinginezo. Misingi ya kisiasa, muundo wa serikali, taratibu za kufuata, nafasi na mipaka ya madaraka ya kisiasa yote hayo yanaainishwa katika Katiba. Aidha Katiba ndio inayoainisha na kudhamini haki za raia.
مرتبط با این کتاب

نظرات کاربران
هنوز نظری برای این کتاب ثبت نشده است.